Home video VIDEO: UKONDE WA YANGA ANA AMINI ATAKUWA KIKOSINI HAPO MSIMU UJAO

VIDEO: UKONDE WA YANGA ANA AMINI ATAKUWA KIKOSINI HAPO MSIMU UJAO

JIMMY Ukonde nyota mpya ambaye alikuwa kwenye majaribo ndani ya kikosi cha Yanga ameweka wazi kwamba anaamini anaweza kuwepo kwenye kikosi hicho kwa msimu ujao.


 Kuhusu ushindani ndani ya Kagame 2021 amebainisha kuwa ulikuwa ni mkubwa huku akigoma kumtaja nyota wa mchezo walipocheza dhidi ya Express, jana Agosti 7, na kukubali kupoteza kwa kufungwa mabao 3-1 Uwanja wa Mkapa. 

 

SOMA NA HII  VIDEO: SIMBA YAMPA POLE MASAU BWIRE, AKUBALI MATOKEO

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here