Home video VIDEO: VITA YA VIUNGO SIMBA V YANGA, ACHA KABISA

VIDEO: VITA YA VIUNGO SIMBA V YANGA, ACHA KABISA

USAJILI kwa timu mbili za Tanzania ambazo zina ushindani mkubwa, Simba na Yanga unaongeza vita kubwa kwenye upande wa viungo. Feisal Salum, Mukoko Tonombe hawa wapo Yanga na watakuwa na kazi ya kukutana na Jonas Mkude, Peter Banda na Taddeo Lwanga. Ligi 2021/22 si mchezo.

 

SOMA NA HII  VIDEO:MOHAMED HUSSEIN AUGA UKAPERA, AFUNGA NDOA