Home video VIDEO: WATAKAOMRITHI CHAMA WANA KAZI, ISHU YA MAKAMBO KURUDI YAZUNGUMZIWA

VIDEO: WATAKAOMRITHI CHAMA WANA KAZI, ISHU YA MAKAMBO KURUDI YAZUNGUMZIWA


MCHAMBUZI wa masuala ya michezo Tanzania, George Ambangile ameweka wazi kwamba wawakilishi wa Tanzania katika mashindano ya kimataifa Simba na Yanga ambao watakuwa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika pamoja na Azam FC na Biashara United kwenye Kombe la Shirikisho zina kazi kubwa ya kufanya. 


Pia amechambua kuhusu usajili wa timu hizo namna wachezaji hao watakavyoweza kufanya vizuri kwenye ligi. Miongoni mwa wachezaji hao ni pamoja na Heritier Makambo wa Yanga, Peter Banda wa Simba. 

 Ambangile ameweka wazi kwamba wale watakaopewa majukumu ya Luis Miquissone na Clatous Chama wana kazi ya kufanya ila hawataweza kuwa kama hao kwa kuwa kila mtu ana kitu chake na kurejea kwa Makambo amesema kuwa ni suala la kusubiri muda ligi itakapoanza. 

 

SOMA NA HII  VIDEO: TEGETE AWACHANA SINZA STARS,TABATA WAKIRI KUWA NI MABISHOO

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here