Home video VIDEO: YANGA WABADILI JEZI KISA PLATEAU UNITED, MOROCCO

VIDEO: YANGA WABADILI JEZI KISA PLATEAU UNITED, MOROCCO

KWA sasa kikosi cha Yanga kipo nchini Morocco kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2021/22 na kimeanza mazoezi, jezi za awali ambazo walivaa zilikuwa zinatajwa kufananishwa na zile za Plateau United ya Nigeria.


 Lakini wanazo jezi nyingine pia ambazo wamezivaa kwa ajili ya mazoezi. Taarifa zinaeleza kuwa Yanga ina jezi nyingi nchini Morocco ambapo kuna jezi ya mazoezi ya asubuhi na ile ya mazoezi ya jioni.

 

SOMA NA HII  VIDEO: SUNDAY MANARA: YANGA HATUKUSTAHILI KUFUNGWA,HAJI SIO MSALITI