Home Azam FC CHEKI UZI MPYA WA AZAM FC MSIMU WA 2021/22

CHEKI UZI MPYA WA AZAM FC MSIMU WA 2021/22


 AZAM FC wazee wa kimyakimya kwa msimu wa 2021/22 sio wanyonge kwenye upande wa uzi mpya nao wanatamba kwa uzi wao ambao kwa sasa upo madukani ukipatikana kwa mashabiki wanaohitaji uzi matata.


Tayari kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina kimerejea Bongo kwa ajili ya maandalizi ya mechi zao zijazo.

Huu hapa muonekano wa uzi wao mpya msimu wa 2021/22


SOMA NA HII  BAADA YA KUFUNGA GOLI LA KWANZA KWENYE LIGI...MAKAMBO AVUNJA UKIMYA YANGA...KAANIKA YOTE ANAYOPITIA...