Home kimataifa MESSI APOTEZWA MAZIMA NA RONALDO

MESSI APOTEZWA MAZIMA NA RONALDO


 STAA wa Manchester United, Cristiano Ronaldo amempiku  mshindi wa mara sita wa tuzo ya Ballon d’Or Lionel Messi  anayekipiga Paris Sait -Germain PSG, kwa wanasoka wanaolipwa zaidi 2021.

Kwa Mujibu wa Jarida la Forbes, Ronaldo yupo kileleni akiingiza Paundi za kiingereza 95 Mil ambazo ni sawa na Bil. 289 na ushee hivi za kitanzania.

La pulga ambaye msimu uliopita alikuwa akiongoza orodha hiyo msimu huu yupo kwenye nafasi ya pili akiingiza Paundi 80.5 sawa na Bil. 255 za kibongo 

Listi kamili ya wachezaji 10  wanaolipwa zaidi iko hivi

Ronado- Bilioni 289

Messi- Bilioni 255

Neymar- Bilioni 220

Mbappe- Bilioni 99

Salah- Bilioni 95

Lewandowski- Bilioni 81

Iniesta- Bilioni 81

Pogba- Bilioni 78

Bale-Bilioni 74

Hazard- Bilioni 67

SOMA NA HII  JAMES RODRIGUEZ KUIBUKIA AL RAYYAN