Home video SIMBA YASAINI DILI LA MAANA, MKWANJA WAWEKWA

SIMBA YASAINI DILI LA MAANA, MKWANJA WAWEKWA


KLABU ya Simba leo Septemba 24 imesaini dili la miaka minne na kampuni ya Africacarriers wenye thamani ya shilingi milioni 800.


 Kupitia dili hilo refu mdhamini ametoa magari matatu ambapo moja ni kwa timu ya Wanaume, moja kwa Simba Queens pamoja na jingine kwa ajili ya U 17

Ni Mtendaji Mkuu wa Simba Barbara Gonzalez ambaye amesaini kwa upande wa Simba na Zain Pirhai kwa upande wa wadhamini.

 

SOMA NA HII  JERRY TEGETE AGOMEA KURUDI TIMU KUBWA,AMTAJA AUCHO WA YANGA