Home video VIDEO: RATIBA YA LIGI KUU BARA IPO NAMNA HII, MECHI 15 NYUMBANI...

VIDEO: RATIBA YA LIGI KUU BARA IPO NAMNA HII, MECHI 15 NYUMBANI NA UGENINI


SEPTEMBA 25 pazia la Ligi Kuu Tanzania Bara linatarajiwa kufunguliwa na mchezo ambao unatarajiwa kupigwa ni ule wa Ngao ya Jamii kati ya mabingwa watetezi ambao ni Simba v Yanga utapigwa Uwanja wa Mkapa.


 Tayari ratiba imewekwa wazi na Bodi ya Ligi Tanzania, (TPLB) kupitia kwa Mtendaji Mkuu, Almas Kasongo. Ni mechi 15 kila timu itacheza ikiwa nyumbani na 15 ugenini.

 

SOMA NA HII  VIDEO: AZAM, YANGA NA UBABE KWA SIMBA, UBINGWA KWA VIBONDE,NIYONZIMA HESHIMA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here