Home video VIDEO:FEISAL ATAJA WALICHOAMBIWA NA MWALIMU, ATOA SHUKRANI

VIDEO:FEISAL ATAJA WALICHOAMBIWA NA MWALIMU, ATOA SHUKRANI


FEISAL Salum, nyota wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars ambaye jana Septemba 7 alikuwa miongoni mwa mashujaa walioipeperusha bendera ya Tanzania kwa kupata ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Madagascar amesema kuwa yote hayo ni maelekezo ya mwalimu na wanamshukuru Mungu kwa kuwa wamepata ushindi.


Ni bao la ushindi lilitoka kwenye mguu wake dakika ya 52 akimalizia kazi murua kutoka kwenye miguu ya nahodha Mbwana Samatta.

 

SOMA NA HII  VIDEO: HALI ILIVYO UWANJA WA MKAPA, WIKI YA MWANANCHI