Home news ISHU YA FAINI YA YANGA CAF YAIBUA MENGINE, TANZANIA YAPEWA ONYO

ISHU YA FAINI YA YANGA CAF YAIBUA MENGINE, TANZANIA YAPEWA ONYO


SHIRIKISHO la Soka Tanzania, (TFF) limekutana na timu zinazoshiriki mashindano ya kimataifa ili kufanyia kazi kasoro zote zilizojitokeza katika michezo ya awali.

Timu za Tanzania ambazo zinashiriki mashindano ya kimataifa ni Azam FC na Biashara United hizi ni kwenye Kombe la Shirikisho na Simba katika Ligi ya Mabingwa huku Yanga wao wakiwa wameshaaga mashindano baada ya kutolewa katika mchezo wa awali.

Taarifa iliyotolewa na TFF imeeleza kuwa kumekuwa Tanzania imepewa onyo kutokana na kuripotiwa matukio mengi kwenye vyumba vya kubadili nguo pale vilabu  vinavyocheza mashindano ya kimataifa na masuala ya vipimo vya PCR.

Taarifa hiyo imeeleza  hivi:-


SOMA NA HII  WAWAKILISHI WA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA, SIMBA, YANGA, AZAM, SINGIDA FG, RATIBA KAMILI IKO HIVI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here