Home news PAMOJA NA KUSAJILIWA KWA BEI MBAYA…MIQUISSONE AACHWA AL AHLY….MOSIMANE AMCHINJIA BAHARINI MAZIMA

PAMOJA NA KUSAJILIWA KWA BEI MBAYA…MIQUISSONE AACHWA AL AHLY….MOSIMANE AMCHINJIA BAHARINI MAZIMA


Kocha wa Mabingwa Afrika, Al Ahly, Pitso Mosimane ametaja kikosi chake kitakachosafiri kuelekea Niger kwa ajili ya mchezo wa klabu bingwa dhidi ya USGN.

Katika kikosi hicho Pitso Mosimane amewaacha nyota wawili aliowasajili msimu huu, Luis Miquissone aliyesajiliwa kutoka Simba SC ya Tanzania na Percy Tau aliyesajiliwa kutoka Brighton and Albion ya England.

Kikosi kamili kinachosafiri;

Magolikipa: Lofty, Sobier na Hamza

Mabeki: Rabia, Yasser, Benoun, Ayman, Hany na Maalsoul

Viungo: Akram, Dieng, Hamad, El soulia na Koka

Washambuliaji: Kahraba, Walid, Mohamed Mahmoud, Taher na Sherif.

SOMA NA HII  WAKATI PAZIA LA LIGI KUU LIKIFUNGWA NA TUZO JUZI..NBC BANK WAIBUKA NA TAMKO HILI JIPYA...AJIRA 3,000 ZATAJWA..

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here