Home CAF HIZI HAPA TIMU KUMI ZA AFRIKA ZILIZOFUZU HATUA YA MTOANO KOMBE LA...

HIZI HAPA TIMU KUMI ZA AFRIKA ZILIZOFUZU HATUA YA MTOANO KOMBE LA DUNIA QATAR..


Cameroon imefanikiwa kuwa miongoni wa mataifa 10 ambayo yamefuzu katika kinyang’anyiro cha kucheza fainali za kombe la Dunia za mwaka 2022 zitakazopigwa nchini Qatar baada ya kuinyuka Ivory Coast kwa bao 1-0

Bao pekee na la ushindi la Cameroon lilifungwa na Karl Toko Ekambi  ambaye anakipiga na Klabu ya Lyon ya Ufaransa na sasa Indomitable Lion wanafuzu kwa mara ya 7 katika hatua hiyo ikiwa ni rekodi kwa bara Afrika.

Mataifa yaliyofuzu hatua ya mtoano ni Senegal,Morocco,Algeria ,Nigeria, Misri,Cameroon,Mali,Ghana na DR Congo ambazo zitapagiwa droo mnamo Mwezi machi mwaka 2022.

SOMA NA HII  MGUSO WA MERIDIANBET KWA JAMII WAUFIKIA MAGIC POWER YA KIJITONYAMA...