Home news KUHUSU KUCHEZA NA YANGA MANUNGU….MTIBWA WAIBUKA NA HILI… THOBIAS KIFARU AITAJA TABORA…

KUHUSU KUCHEZA NA YANGA MANUNGU….MTIBWA WAIBUKA NA HILI… THOBIAS KIFARU AITAJA TABORA…


UONGOZI wa Klabu ya Mtibwa Sugar, umeweka wazi  kuwa, mchezo wao dhidi ya Yanga utafanyika Uwanja wa Manungu uliopo mkoani Morogoro na wala hawatauhamisha kwenda popote.

Februari 23, mwaka huu, Mtibwa watakuwa wenyeji wa Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara.

Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru, alisema: “Watu wanazusha kuwa mechi sijui itafanyika Tabora, lakini nataka niwaambie kuwa mechi ipo palepale katika uwanja wetu wa Manungu.

“Sisi tunaitaka Yanga ije hapa Manungu, tumejipanga vizuri kuwakabili. “Kwa namna yoyote ile tutapata ushindi, huko nyuma tumepoteza mechi, lakini kwa Yanga tutapambana kushinda.”

SOMA NA HII  WAKATI WATU WAKISHANGAZWA NA UWEZO WA OUATTARA...'MASTA' MAKI AIBUKA NA KUWAJIBU KWA HOJA 'KUNTU'...

2 COMMENTS

  1. Do you mind if I quote a few of your posts as long as I provide credit and sources back to your site?
    My website is in the exact same niche as yours and my
    users would definitely benefit from some
    of the information you present here. Please let me know if this ok with
    you. Appreciate it!

    Here is my homepage: Kochen