Home news CHAMA ASHINDWA KUFICHA MAHABA YAKE KWA MAYELE NA SAIDO…AFUNGUKA ANAVYOWAKUBALI ‘KISHENZI YANI’…

CHAMA ASHINDWA KUFICHA MAHABA YAKE KWA MAYELE NA SAIDO…AFUNGUKA ANAVYOWAKUBALI ‘KISHENZI YANI’…


Kiungo wa Simba Clautos Chama amesema anawahusudu sana baadhi ya wachezaji wa kigeni kutoka kwa mahasimu wao Yanga.

Akizungumza kwenye mahojiano maalum, Chama amesema pia anawakubali pia wachezaji wenzie wakigeni kwenye timu ya Simba.

“Nadhani nitawataja Pape Sakho, Peter Banda, Saido Ntibazonkiza, Aucho licha ya kuwa sijamtazama sanaa akiwa anacheza na Mayele naye anafanya vizuri tu” amesema Chama.

Ikumbukwe Chama amerejea tena Simba miezi kadhaa iliyopita akitokea klabu ya RS Berkane ya Morocco.

SOMA NA HII  MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA ALHAMISI