Home Habari za michezo BAADA YA KUONA WATU WANAMPOTEZEA SIKU HIZI..MORRISON NAYE KAIBUKA NA HILI KUHUSU...

BAADA YA KUONA WATU WANAMPOTEZEA SIKU HIZI..MORRISON NAYE KAIBUKA NA HILI KUHUSU USGN..


Ikiwa leo ndio siku ya hukumu kwa Kikosi cha Simba kujua kama aidha wanakwenda hatua ya Robo Fainali Kombe la Shirikisho Afrika ama la.

Winga asieishiwa na vituko kunako kikosi hicho Mghana Bernard Morisson, kupitia mtandao wake wa Twitter, amepost akiwaomba Mashabiki wa Simba kujitokeza kwa wingi katika mchezo wao wa mwisho hatua ya Makundi dhidi ya US Gendarmerie utakaopigwa majira ya saa nne usiku katika Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Simba inahitaji ushindi nkatika mchezo wa leo ili kujihakikishia nafasi ya kusonga hatua inayofuata.

SOMA NA HII  USAJILI WA SURE BOY WAMUIBUA KIGOGO YANGA...AFUNGUKA NABI ALIVYOWALILIA WAMCHUKUE...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here