Home CAF #CAFCCUPDATES: KAPOMBE AZIBA PENGO LA MORRISON SIMBA…KIKOSI KAMILI HIKI HAPA…

#CAFCCUPDATES: KAPOMBE AZIBA PENGO LA MORRISON SIMBA…KIKOSI KAMILI HIKI HAPA…


Wawakilishi wa Tanzania Kunako michuano ya Kimataifa, Simba SC muda mchache kutoka sasa watakua na kibarua kizito mbele ya Orlando Pirates ya Afrika ya kusini kuwania kufuzu kwa hatua ya Nusu Fainali Kombe la Shirikisho Afrika.

Mchezo huo ambao utapigwa katika Uwanja wa Orlando, utawashuhudia Simba wakiingia na faida ya uongozi wa goli 1-0 walioupata Jijini Dar es Salaam wikiendi iliyopita.

Hiki hapa Kikosi cha Simba Kinachoanza mchezo wa leo;


SOMA NA HII  RASMI..MORRISON AKUBALI YAISHE SIMBA...AFUNGUKA HAYA...AWATAJA BOCCO NA WAWA...ATAKA MAOMBI...