Home Habari za michezo RUVU SHOOTING vs YANGA …HAKUNA MBABE…MAYELE ‘ACHEZEWA UNDAVA MWINGI’ TENA…ASHINDWA KUTETEMA…

RUVU SHOOTING vs YANGA …HAKUNA MBABE…MAYELE ‘ACHEZEWA UNDAVA MWINGI’ TENA…ASHINDWA KUTETEMA…


MABINGWA mara 27 wa Ligi Kuu Bara, Yanga kwa kutoshana nguvu bila kufungana ndani ya dakika 90.

Ulikuwa ni mchezo wa matumizi ya nguvu na akili kwa wachezaji wote wa timu mbili kwenye msako wa pointi tatu muhimu.

Fiston Mayele, Heritier Makambo na Ngushi utatu huu ulikwama kuitungua Ruvu Shooting kwenye mchezo huo kwa kushindwa kumfunga Mohamed Makaka.

Suluhu ambayo wameipata imewafanya waweze kugawana pointi mojamoja.

Sadat na Rashid Juma kwa Ruvu Shooting nafasi ambazo walitengeneza walishindwa kuzitumia mbele ya Yanga.

Juma alionyeshwa kadi mbili za njano na kuonyeshwa kadi nyekundu na mwamuzi wa mchezo.

SOMA NA HII  BIGIRIMANA AENDELEA KUIKALIA KOONI YANGA...WAKALA WAKE ATUA TZ NA 'MKWARA WA KIBABE'...