Home Habari za michezo RASMI… MANARA AUFYATA KWA KARIA…. AFUNGUKA A-Z JINSI ILIVYOKUWA… ADAI YUKO TAYARI...

RASMI… MANARA AUFYATA KWA KARIA…. AFUNGUKA A-Z JINSI ILIVYOKUWA… ADAI YUKO TAYARI KWA ADHABU YOYOTE ILE…


Msemaji wa Yanga Haji Manara ameufya kwa kuamua kujishusha baada ya kumuomba radhi Rais wa TFF Wallace Karia kuhusu jambo ambalo lilitokea Jijini Arusha wakati wa fainali la Kombe la Shirikisho la Azam Sports Federation Cup ASFC.


“Hata kama ni yeye ndiye alinianza lakini naomba msamaha kwa namna yoyote ile nilikosea kujibizana na Rais Wallace Karia naomba radhi, haimaanishi mini nisichukuliwe hatua.

Kama itaonekana nastahili kuchukuliwa hatua nipo tayari kupokea adhabu hiyo, lakini lazima niombe msamaha bila kujali kamati itaamua nini.

Kingine sina matatizo na Karia, ni Mzee wangu na namheshimu, na nimekuwa mstari wa mbele mara kadhaa kutetea hoja zake”.

SOMA NA HII  ZA NDAAANII KABISA.....BAADA YA KUPIGWA 5G....USAJILI MPYA SIMBA HUU HAPA....