Home Habari za michezo LIGI KUU UINGEREZA: CHELSEA WACHANA MKEKA….YAWA ‘KUBWA JINGA’ MBELE YA LEEDS…WAKUNG’UTWA KAMA...

LIGI KUU UINGEREZA: CHELSEA WACHANA MKEKA….YAWA ‘KUBWA JINGA’ MBELE YA LEEDS…WAKUNG’UTWA KAMA NGOMA ….


Leeds United imeendelea kuwa na mwanzo mzuri wa msimu baada ya kufanikiwa kupata ushindi magoli 3-0 dhidi ya #Chelsea kwenye Uwanja wa Elland Road, leo Agosti 21, 2022.

Wafungaji wa #LeedsUnited katika mchezo huo ni Brenden Aaronson, Rodrigo Moreno na Jack Harrison, pia haikuwa siku nzuri kwa beki wa kati wa Chelsea, Kalidou Koulibaly ambaye alitolewa kwa kadi nyekundu katika dakika ya 85.

Aidha, katika mchezo mwingine wa Premier, West Ham United ikiwa nyumbani imepoteza kwa magoli 2-0 dhidi ya Brighton & Hove Albion.

SOMA NA HII  KUHUSU KIBABAGE KUTUA YANGA...'UPDATE' MUHIMU HII HAPA...MKATABA WAKE UKO 🔥🔥🔥

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here