Home Habari za michezo FT: YANGA 3-0 MTIBWA SUGAR ….AZIZ KI AFUFUKIA KWENYE ‘JUA LA UTOSI’…MAMBO...

FT: YANGA 3-0 MTIBWA SUGAR ….AZIZ KI AFUFUKIA KWENYE ‘JUA LA UTOSI’…MAMBO YA KICONGO YAFANYA KAZI KWA MKAPA…


KLABU ya Yanga imefanikiwa kuondoka na alama tatu mara baada ya kufanikiwa kuichapa Mtibwa Sugar kwa mbao 3-0, mchezo ambao ulipigwa kwenye dimba la Benjamini Mkapa Jijini dar es Salaam.

Mabao ya Yanga yaliwekwa kimyani na mshambuliaji Fiston Mayele, Djuma Shaban pamoja na Azizi Ki ambaye alifunga idadi ya mabao kwenye mchezo huo ambao ulikuwa wa aina yake.

Yanga sasa iitakuwa inaongoza ligi ya NBC kwa kufanikiwa kucheza mechi nne na kujikusanyia pointi 10 akifuatiwa na Azam Fc ambaye amecheza mechi nne na kujikusanyia pointi 8 wakati Simba, Namungo pamoja na Singida Big Star. wakiwa wamecheza mechi tatuu na kujikusanyia pointi 7

SOMA NA HII  MWAKALEBELA : HAKUNA TIMU ISIYOPENDA KUWA NA MORRISON...ANA NAFASI YA KUCHEZA TENA YANGA...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here