Home Habari za michezo WAKATI SOKA LA KIBABE LIKIZID KUKIMBIZA ULAYA….HII NI WIKI YA DERBY,…DABIKA NA...

WAKATI SOKA LA KIBABE LIKIZID KUKIMBIZA ULAYA….HII NI WIKI YA DERBY,…DABIKA NA MERIDIANBET NA USHINDE MIHELA…


Mechi ni nyingi lakini kubwa kuliko ni Milan Dabi na London Dabi zote zitapigwa hii leo, nafasi ni yako ya kubashiri ukiwa na meridianbet.

Eplitaendelea tena kwa michezo kadhaa, huku tukishuhudia Dabi ya London kati ya Chelseana West Ham itakayochezwa mapema sna mida ya saa 17: 00 za jioni. Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya ushindi Chelsea kwa odds ya 1.59na West Ham kapewa 5.29

Liverpoolatakuwa ugenini kukipiga na Everton saa 14:30, Everton ametoka kutoa sare kwenye mechi zake 2 za mwisho na ameshinda mechi 1 tu msimu huu, je wataweza kumsimamisha Liverpool aliyepoteza mechi moja tu? Bashiri sasa nafasi ni yako ya kushinda.

Vijana wa Steven Geradbaada ya kupoteza dhidi ya Arsenal, wanakutana na Man Cityya Pepiliyotoka kushinda goli 6 dhidi ya Nottingham. Hii mechi unaionaje? panga mkeka wako na ushinde kirahisi ukiwa na Meridianbet.

Wolveswatacheza na Southmpton huku Tottenhamwatacheza na Fulham, pia Newcastleatakuwa na kibarua dhidi ya Crystal palace, upande mwingine Leedswatakuwa ugenini kucheza na Brentford hatujawasahau Nottinghamwatakipiga na Bournemouth. Mechi hizo zote utazipata meridianbet zikiwa na odds kubwa na machaguo mengine 1000+

Kule katika Serie A kuna Milan Dabi, leo nyasi za uwanja wa San Siro zitawaka moto majira ya saa19:00, Mechi iliyopita AC Milan alipoteza kwa goli 3, leo atakubali kupoteza na Inter nae atakubali kuharibu rekodi yake ya kumfunga mtani wake? Usisubiri bashiri hapa ili ushinde.

Katika La Liga michezo ya raundi ya 4 inaendelea hii leo, Real Madrid wapo nyumbani kucheza na Betis hawa jamaa sio wa kuchezea wapo nafasi ya pili kwenye msimamo. Meridianbet wamempa Betis odds ya 6.66 ashinde mbele ya Madrid aliyepewa 1.40.

Sevilla watacheza dhidi ya Barcelonayenye Lewandowskimchana nyavu, huku Real Sociedad atakipiga na Atletico. Weka ubashiri wako sasa ujihakikishie nafasi ya ushindi.

SOMA NA HII  BAADA YA KUSIKIA YANGA WALICHOIFANYWA MAZEMBE DAR...REAL BAMAKO WAGUNA KISHA WAKASEMA HILI...