Home Habari za michezo WAZAMBIA WAIFANYIA KITU MBAYA TANZANIA ….TWIGA STARS WABANWA MBAVU AFRIKA KUSINI…JESHIMA...

WAZAMBIA WAIFANYIA KITU MBAYA TANZANIA ….TWIGA STARS WABANWA MBAVU AFRIKA KUSINI…JESHIMA YAO YAPOTEA …


Timu ya Taifa ya Wanawake ‘Twiga Stars’ imevuliwa ubingwa wa COSAFA Wanawake baada ya kuchapwa 2-1 na Zambia jana Uwanja wa Isaac Wolfson mjini Port Elizabeth, Afrika Kusini.

Mabao ya Zambia yamefungwa na Barbara Banda dakika ya 11 na Chisha Misozi dakika ya 46, wakati la Twiga Stars alijifunga Margaret Balemu dakika ya 30.

Kwa sasa Twiga Stars itawania nafasi ya tatu katika michuano hiyo.

SOMA NA HII  MWAMUZI SIMBA V YANGA PASUA KICHWA