Home Habari za michezo WIKI YA USIKU WA MABINGWA KUTIMUA VUMBI…., MERIDIANBET WANA MZIGO WAKO….!

WIKI YA USIKU WA MABINGWA KUTIMUA VUMBI…., MERIDIANBET WANA MZIGO WAKO….!


Hatulazi damu, wiki hii tunaendelea kukupatia mihela ya kutosha kwenye mechi za UCL, chakufanya andaa mkeka wako meridianbet wamekupa odds kubwa kwenye game za wiki hii.

Kabla ya kuanza usiku wa mabingwa, leo utashudia mechi mbili kali za Ligi ya Serie A na La Liga, Raundi ya sita itawakutanisha Empoli dhidi ya Romaambaye kashinda mechi 2, kapoteza 2 na kasare 1. Huku kwenye La Liga, Almeria atawakalibisha Osasuna. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya ushindi Almeria kwa odds kubwa kabisa ya 2.69 huku Osasuna akiwa na 2.74

 Usiku wa Jumanne patashika nguo kuchanika, Liverpool baada ya kupoteza mchezo wa kwanza kwa bao 4-1 dhidi ya Napoli atakuwa nyumbani kwenye uwanja wa Anfield akiwakaribisha Ajax ambao msimu huu umeanza vizuri kwao, wakishinda mechi zote za Ligi. Bashiri hapa

 Macho ya wengi yatakuwa kwenye mechi ya kisasi, ni Bayern dhidi ya Barcelona, mara ya mwisho Barca alichezea nje, ndani walipokutana, unadhani Bayern wataendeleza ubabe wao dhidi ya Barca? Au Lewandowski atafuta uteja kwa kuwaadhibu mabosi wake wa zamani? Meridianbet wamempa odds kubwa zaidi Barca 3.72 hii sio ya kukosa.

Gemu zingine za Jumanne ni Sporting CP atakipiga na Tottebham, huku Napoli waliotoka kumfunga Liverpool watakuwa ugenini kucheza na Rangers. Bayer Leverkusen watawakaribisha Atletico, kule Ureno FC Porto atacheza na Club Brugge, na Viktoria Plzen atakiwasha na Inter. Na Marseille atawakaribisha Frankfurt. Tambaza Ubashiri wako ushinde pesa.

Jumatano ni hapatoshi, Kibarua cha kwanza kwa kocha mpya wa Chelsea Graham Potterkitaanzia kwenye mechi ya nyumbani dhidi ya Salzburg, wengi wanasubiri kuona Potter atafanya nini kwenye huu mchezo. Na wewe usilaze damu tabiri mechi hii ukiwa na meridianbet.

Baada ya ushindi wa bao 4 wakiwa ugenini dhidi ya Sevilla sasa wanarudia nyumbani kucheza na Dortumund na wao walishinda mchezo wao wa kwanza kwa bao 3-0 dhidi ya Copenhagen, Dortumund amepewa odds ya 11.76 huku City akiwa na odds ya 1.19. Wewe unaionaje hii gemu, twende kazi shusha utabiri wako hapa.

SOMA NA HII  MPAKA KUFIKIA 'RAUNDI' KWENYE LIGI...YANGA NDIO MWAMBA KWENYE KILA KITU...TAKWIMU HIZI HAPA..

Real Madrid watakipiga na Leipzig, huku Psg atakuwa ugenini kucheza na Maccabi Haifa, Wao Juventus watawakaribisha Benfica kwenye dimba la Allianz, AC Milan watakuwa nyumbani kucheza na Dinamo Zagreb, na Sevilla atakuwa ugenini dhidi ya Copenhagen, pia Shaktar watakipiga na Celtic. Kupitia Meridianbet utazipata mechi zote hizi zikiwa na odds kubwa zaidi na machaguo zaidi ya 1000.