Home Habari za michezo BAADA YA KUIPAISHA SIMBA KIMATAIFA…GOMES AFANYA KWELI …AWAPA UBINGWA WAAABU…

BAADA YA KUIPAISHA SIMBA KIMATAIFA…GOMES AFANYA KWELI …AWAPA UBINGWA WAAABU…

Kocha wa zamani wa Klabu ya Simba SC, Didier Gomez ameiwezesha Klabu yake ya sasa ya Al-Wehdat SC inayoshiriki Ligi Kuu nchini Jordan kutwaa Ubingwa wa Kombe la Jordan Cup Baada ya kuibuka na ushindi wa Goli 1-0 dhidi ya Al-Aqaba SC.

Fainali ya Kombe hilo imemalizika mda mfupi uliopita ambapo Gomez ameiwezesha Klabu hiyo kushinda Ubingwa wa 11 wa Kombe hilo katika historia ya Klabu ya Al-Wehdat.

SOMA NA HII  MO DEWJI AAMUA SIMBA...MAWAKALA KUTOKA ULAYA KUSHUSHA 'VIFAA' VYA KAZI...MPANGO UMESUKWA HIVI...