Home Habari za michezo HIVI NDIVYO MASTAA YANGA WALIVYOJIGAWIA TIMU ZA KUSHABIKIA KOMBE LA DUNIA…

HIVI NDIVYO MASTAA YANGA WALIVYOJIGAWIA TIMU ZA KUSHABIKIA KOMBE LA DUNIA…

Kikosi cha Yanga SC

Baadhi ya wachezaji wa Yanga wametaja timu wanazozipatia nafasi kubwa ya kubeba ubingwa wa Kombe la Dunia ambapo michuano hiyo inaendelea huko Qatar.

Kocha Msaidizi wa Yanga, Cedric Kaze yeye amesema amewapa nafasi kubwa Senegal na Argentina wataafika fainali na kombe ataabeba Argentina.

Wachezaji wametaja kama ifuatavyo;

➡️ Ufaransa

Fiston Mayele

➡️Argentina

Nkane Denis

Kibwana Shomari

Feisal Salum

➡️Brazil

Gael Bigirimana

Dickson Job

Ibrahim Bacca.

Mzize Clement

➡️Senegal

Ambundo Dickson

Kwa maana hiyo Brazil wamepewa nafasi kubwa ya kushinda ubingwa huo.

SOMA NA HII  ISHU YA KUANZIA BENCHI KILA MECHI ZA YANGA YAMUIBUA SKUDU...AFUNGUKA YA MOYONI...