Home Habari za michezo MASTAA WALIOZALIWA AFRIKA….LAKINI WANACHEZEA MATAIFA MENGINE KOMBE LA DUNIA….

MASTAA WALIOZALIWA AFRIKA….LAKINI WANACHEZEA MATAIFA MENGINE KOMBE LA DUNIA….

Wachezaji wanaocheza fainali za kombe la dunia wenye asili ya Afrika Wanao wakilisha Mataifa ya Ulaya katika Kombe la Dunia Mwaka Huu 2022.

1.Ansu Fati. (Spain) Born in Bissau, Guinea Bissau.

2.Alphonso Davies. (Canada) Born in Buduburam, Ghana.

3.Eduardo Camavinga. (France) Born in Cabinda, Angola by Congolese parents.

4.Youssoufa Moukoko. (Germany) Born in Younde, Cameroon

5.Danilo Pereira. (Portugal) Born in Bissau, Guinea Bissau

6.Steve Mandanda. (France) Born in Kinshasa, DRC

7.Breel Embolo. (Switzerland) Born in Yaounde, Cameroon

8.Mohammed Muntari. (Qatar) Born in Kumasi, Ghana

9.Amadou onana. (Belgium) Born in Dakar, Senegal

10.Ismail Kone. (Canada) Born Abidjan, Cote d’Ivoire.

11.Keanu Baccus. (Australia) Born in Durban, South Africa.

12.Musab Kheder. (Qatar) Born in Khartoum, Sudan.

13.Boualem Khoukhi. (Qatar) Born in Bou Ismail, Algeria.

14.William Carvalho. (Portugal) Born in Luanda, Angola.

15.Thomas Deng. (Australia) Born a South Sudanese refugee in Nairobi,Kenya.

16.Awer Mabil.(Australia) Born a South Sudanese refugee in Kakuma, Kenya.

17.Garang Kuol.(Australia) Born in Egypt.

18.Akram Hassan Afif Yahya Afif Al Yafei (Tanzania) Qatar

19.Yusuph Poulsen(Tanzania) Denmark

20.Lukaku (Congo) Belgium.

SOMA NA HII  BAADA YA PIRIKAPIRIKA ZA USAJALI KUPAMBA MOTO MOSES PHIRI AFUNGUKA HAYA KUHUSU KIKOSI CHA SIMBA