Home Habari za michezo KUELEKEA MECHI YA FAINAL KESHO…MBAPPE AOMBA MSAADA WA AFRIKA KUISHINDA ARGENTINA…

KUELEKEA MECHI YA FAINAL KESHO…MBAPPE AOMBA MSAADA WA AFRIKA KUISHINDA ARGENTINA…

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ufaransa Kylian Mbappe amesema kwenye mechi yao ya fainali dhidi ya Argentina anategemea sapoti kubwa kutoka barani Afrika kwa kuwa Wafaransa wengi asili yao ni Afrika.

“Nategemea kuona sisi tutakuwa na mashabiki wengi zaidi kutoka barani Africa, tofauti na Argentina ambao wao mashabiki wao ni wale wa Messi,Sisi mashabiki wetu ni watu wote duniani na Africa ambao ni kwa asilimia 80% ni ndugu zetu “Kylian Mbappe.

SOMA NA HII  PAMOJA NA KUSEPA 'BONGO' ....HAWA HAPA WABABE WA BENCHIKHA NDANI YA LIGI KUU...