Home Habari za michezo SADIO KANOUTE ‘AMBALAGAZA’ MZAMIRU SIMBA…JAMBO LAKE LAENDA KAMA ALIVYOTAKA…

SADIO KANOUTE ‘AMBALAGAZA’ MZAMIRU SIMBA…JAMBO LAKE LAENDA KAMA ALIVYOTAKA…

Habari za Simba

Kiungo wa Kimataifa wa Mali, Sadio Kanoute ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki mwezi Novemba akiwaangusha wazawa, beki Shomari Kapombe na kiungo Muzamil Yassin.

Kwa ushindi huo, Kanoute aliye katika msimu wake wa pili Simba SC atakabidhiwa zawadi ya Sh. Milioni 2 kutoka kwa wadhamini, kampuni ya Emirate Aluminium Profile.

SOMA NA HII  MANARA TENAAH...ASHINDWA KUJIZUIA KUHUSU 'KAMATI KAMATI' ZA MSHINDO MSOLA..AMTAJA SENZO...