Home Habari za michezo TETESI : KOCHA WA AL AHLY KUTUA SIMBA SC…MPANGO MZIMA UKO NAMNA...

TETESI : KOCHA WA AL AHLY KUTUA SIMBA SC…MPANGO MZIMA UKO NAMNA HII…

Kocha aliyewahi kufanya kazi na Al Ahly ya Misri, Alexandre Santos anatajwa kuingia kwenye rada za Simba SC ili kuchukua nafasi ya Kocha Mkuu.

Kocha huyo anayefundisha Petro de Luanda mwenye umri wa miaka 46, anashikilia leseni ya UEFA Pro.

Kocha huyo anatajwa kuwa na uzoefu mkubwa na filabu vikubwa vya Afrika na nje ya Afrika miongoni mwa vilabu alivyovifanyia kazi ni pamoja na Al Ahly, FC Porto na Saudi Arabia.

SOMA NA HII  WAKATI FEI TOTO AKIZIDI KUDENGUA...MUDATHIRI AITEKA 'SHOW' YANGA...NABI KAPAGAWA MAZIMA...