Home Habari za michezo FT: YANGA 1-0 IHEFU …..KISASI KIMELIPWA KWA UONYENGEE…MAYELE KAMA MANDONGA TU…

FT: YANGA 1-0 IHEFU …..KISASI KIMELIPWA KWA UONYENGEE…MAYELE KAMA MANDONGA TU…

Habari za Yanga

KLABU ya Yanga Sc imefanikiwa kulipa kisasi kwa kuichapa Ihefu Fc kwa bao 1-0, mchezo ambao ulipigwa kwenye dimba la Benjamini Mkapa Jijini Dar es Salaam..

Katika mchezo huo, tumeshuhudia mshambuliaji hatari wa Yanga Fiston Kalala Mayele ameweza kuongeza kalama yake ya mabao baada ya kufunga kwenye mechi hiyo.

Mchezo wa kwanza mzunguko wa kwanza Yanga iliharibiwa Unbeaten ya 50 na kufikia 49 kwa kufungwa bao 1-0.

SOMA NA HII  RASMI..SHIBOUB NA MUAIVORY KUKIWASHA KWENYE MAPINDUZI NA SIMBA...DILI LAO LIMEKAA HIVI....