Home Habari za michezo KISA FEI TOTO KURUDISHWA YANGA SC….JEMEDARI SAIDI ALIPUKIA TFF…AWAPA MAKAVU HAYA…

KISA FEI TOTO KURUDISHWA YANGA SC….JEMEDARI SAIDI ALIPUKIA TFF…AWAPA MAKAVU HAYA…

Habari za Simba

Mchambuzi Nguli wa michezo nchini Jemedari Said Kazumari amechukizwa na Barua ya TFF kuwaacha njia panda wadau wa michezo kuhusu Sakata la Mchezaji Feisal Salum na Klabu ya Yanga SC

Baada ya hii leo TFF kutoa waraka unaothibitisha kuwa mpaka sasa mchezaji Feisal Salum ni mali ya Yanga SC huku ikisema uamuzi kamili utatolewa Jumatatu Januari 9, mchambuzi huyo kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika;

“TFF Yasema FEISAL SALUM ni Mali ya Yanga SC Uamuzi kamili kutolewa Jumatatu Kama uamuzi kamili utatolewa Jumatatu huu wa leo ilikuwa na haraka gani? Unaitwaje kitaalamu?

Justice hurried is justice buried..!!!”

SOMA NA HII  HATMA YA SIMBA IPO KWA MKAPA UONGOZI WAFUNGUKA HAYA KUHUSU WYDAD