Home Habari za michezo ALI KAMWE:- LOLOTE LITAFANYIKA MWARABU AFE…TUNGULI RUKSA…DUA RUKSA…

ALI KAMWE:- LOLOTE LITAFANYIKA MWARABU AFE…TUNGULI RUKSA…DUA RUKSA…

ALI KAMWE LOLOTE LITAFANYIKA MWARABU AFE...TUNGULI RUKSA...DUA RUKSA

Ali kamwe :”tunaenda kwenye matawi yetu makubwa kabisa ya Yanga pale kwa Mtogole kuna tawi kubwa, Kariakoo hapa kuna tawi kubwa.

Tutawaambia viongozi wa matawi kuwa kama kuna lolote wanaweza kufanya sisi tunawaruhusu wafanye ili mradi Yanga ishinde.

Tunaenda kwenye matawi kuwaambia wafanye vyovyote vile, kama ni kusoma Dua sawa, na lolote wanaloona litatusaidia, lakini lazima mwarabu afe.

Ally Kamwe, Afisa Habari Yanga SC.

SOMA NA HII  MCHEZAJI STARS AKUMBWA NA MAJANGA HAYA UBELGIJI...ISHU NZIMA HII HAPA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here