Home Habari za michezo BAADA YA CHAMA KUKOSA TUZO LA CAF….MDAU AIBUKA NA HILI KUKANDIA MFUMO...

BAADA YA CHAMA KUKOSA TUZO LA CAF….MDAU AIBUKA NA HILI KUKANDIA MFUMO WA KUPIGA KURA…

MASTAA SIMBA WASHIKWA NA NJAA KALI...WAENDELEA KUTEMBEZA KICHAPO

li tuzo za wiki za (CAF) ziwe zinatoka kwa haki kwa kuzingatia ubora wa mchezaji kwenye shindano husika, CAF wanapaswa kubadili muundo wa namna ya kumpata mshindi.

Mchezaji yoyote Africa kwa muundo ulivyo kwa sasa akishindanishwa na mchezaji wa hizo timu hapo juu kwa kupiga kura mitandaoni hata Angekuwa Messi angeshindwa na Ngushi au Gadiel Michael.

Chama kaikosa tuzo hii sio kwa sababu hana vigezo ila ni kwa kuwa Simba hawaigusi Al Ahly kwa fan base kwenye mitandao ya kijamii.

Beleave or not, kama Chama angeshindanishwa na mshambuliaji hatari kama Peter Shalulile wa Mamelodi Sundowns, Chama angeshinda kwa sababu Mamelodi haina fan base kubwa kwenye social media.

Chama alishinda tuzo ya mchezaji bora wa wiki iliyopita sio kwa sababu alikuwa na performance kubwa kuliko Shalulile, HAPANA. Alishinda kwa sababu ya nguvu ya fan base ya Simba kwenye mitandao.

Vivyohivyo hata leo. Kahraba amemshinda Chama sio kwa sababu alikuwa na performance kubwa kuliko Chama, bali nguvu ya Al Ahly kwenye social media ndio imeamua mshindi awe nani.

Muundo haufai!

Klabu za soka zenye nguvu zaidi kwenye mitandao ya kijamii Barani Africa!

1. Al Ahly Cairo (Misri) 2. Zamalek (Misri) 3. Simba SC (Tanzania) 4. Young Africans (Tanzania).

Suluhisho; Ili kuepusha hilo CAF wangeweka mfumo tofauti wa upigaji kura.

Mfano; Makocha wote na manahodha walioshiriki kwenye shindano husika ndio wangekuwa wanapiga kura kuamua mshindi. Kila mbabe na mbabe wake.

SOMA NA HII  ONANA AJICHIMBIA KABURI MWENYEWE MSIMBAZI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here