Home Habari za michezo KUHUSU MIQUISSONE NA AL AHLY …SAFARI HII….SIMBA WASHINDWE WENYEWE TENA…

KUHUSU MIQUISSONE NA AL AHLY …SAFARI HII….SIMBA WASHINDWE WENYEWE TENA…

Tetesi za Usajili Simba

Uongozi wa Klabu ya Al Ahly umemueleza CEO wa klabu hiyo kuwa ahakikishe anawaondoa wachezaji watatu katika dirisha lijalo la usajili.

Wachezaji hao ni Luis Miquissone, Bruno Savio na Walter Bwalya ambao wanapaswa kuwa wameondoka.

Kuondoka kwa wachezaji hao ni kutoa fursa kwa klabu kuingiza wachezaji wapya.

Kuachwa kwa Miquissone inaweza kuwa ni habari njema kwa Simba SC ambao mara kadhaa walijaribu kutaka kumrudisha mchezaji huyo lakini inaelezwa malipo makubwa ya mshahara wake yalikuwa kikwazo kwa SImba na hiyo kwenda kwa Mkopo katika klabu ya Abha ya nchini Saudi Arabia.

Miquissone aliuzwa na Simba mwishoni mwa msimu wa mwaka 2020/2021 akiwa ashafanya makubwa na kujitengenezea ufalme wake ndani ya klabu ya Simba.

SOMA NA HII  BAADA YA KUPATA 'PANCHA' INGINE....KRAMO NNJE WIKI MBILI....

1 COMMENT

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here