Home Michezo MAYELE NA INONGA WAPIGWA BENCHI…TIMU YA TAIFA YA CONGO

MAYELE NA INONGA WAPIGWA BENCHI…TIMU YA TAIFA YA CONGO

INONGA NA MAYELE NDANI YA KIKOSI KIMOJA...WAONDOKA DAR ES SALAAM

Timu ya Taifa ya Congo inashuka Dimbani kujaribu kuibua matumaini ya kufuzu kwa Michuano ya AFCON2023.

Congo ambao tayari wamecheza michezo miwili katika Kundi I, wanaburuza mkiwa wakiwa wamepoteza michezo yote miwili.

Congo jioni ya leo wana kibarua mbele ya Mauritania na wakati kikosi cha wanaoanza katika mchezo huo kikiwekwa hadharani, hakuna jina la Mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele, wala Beki wa Simba Inonga Baka ambao kwenye vikosi vya klabu zao wana uhakika wa kuanza kila mchezo.
Hiki hapa Kikosi cha Congo kinachoanza mchezo wa leo;

SOMA NA HII  YANGA: TUTAIPIGA SIMBA PALEPALE KWENYE MSHONO