Home FA Cup MKWAKWANI PATASHIKA NGUO KUCHANIKA…WACHEZAJI WATALISHWA UDUVI…WATAOGESHWA MAJI YA IRIKI

MKWAKWANI PATASHIKA NGUO KUCHANIKA…WACHEZAJI WATALISHWA UDUVI…WATAOGESHWA MAJI YA IRIKI

MKWAKWANI PATASHIKA NGUO KUCHANIKA...WACHEZAJI WATALISHWA UDUVI...WATAOGESHWA MAJI YA IRIKI

Michuano ya Kombe la Azam Sports Federation imefikia kwenye utamu wake baada ya Timu 8 kutinga hatua ya Robo Fainali.

Timu zilizotinga hatua ya Robo Fainali ni pamoja na Simba, Yanga, Azam FC, Geita Gold, Mbeya City, Ihefu na Mtibwa Sugar.
Mechi za Robo Fainali zitapigwa kama ifuatavyo;

Simba vs Ihefu
Singida vs Mbeya City
Yanga vs Geita Gold
Azam vs Mtibwa

Michezo ya Nusu Fainali itapigwa katika Viwanja vya Nangwanda Sijaona Mkoani Mtwara na Uwanja wa Liti Mkoani Singida.
Mchezo wa Fainali utapigwa katika Uwanja wa CCM Mkwakwani Mkoani Tanga.

SOMA NA HII  MAJERAHA YAMTESA PHIRI SIMBA...BALEKE AMKOSESHA RAHA...AMEFUNGUKA HAYA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here