Home Habari za michezo MTANZANIA KULAMBA BILIONI 1.7 KISA POOL TABLE TU…ISHU NZIMA IKO HIVI…

MTANZANIA KULAMBA BILIONI 1.7 KISA POOL TABLE TU…ISHU NZIMA IKO HIVI…

Pool table

Mchezaji wa Pool table, Abdallah Hussein anayeiwakilisha Tanzania kwenye Mashindano ya Pool table yanayoendelea nchini China amefuzu kuingia kwenye hatua ya wachezaji 64 bora Duniani katika mashindano ya Pool table duniani (Heyball) yanayoendelea nchini China.

Hadi kufikia hatua hiyo mtanzania huyo atapewa kiasi cha Dola 3000 huku mshindi wa mashindano hayo akitarajiwa kupatiwa bilioni 1.7 za Kitanzania.

Droo ya kuanza fainali inatarajiwa kufanyika leo huku Faniali zikitarajiwa kuanza machi 28 na kumalizika Aprili 5 huko Qinhuangdao China.

SOMA NA HII  AVITOR BETI ZA BURE SIKU 30 MWEZI NOVEMBA