Home Habari za michezo SASA HAKUNA TENA MKEKA KUCHANIKA…FANYA HIVYI NA MERIDIANBET UKIONA MKEKA WAKO UNAUNGUA….

SASA HAKUNA TENA MKEKA KUCHANIKA…FANYA HIVYI NA MERIDIANBET UKIONA MKEKA WAKO UNAUNGUA….

Meridianbet

: Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii

 Unaambiwajee!! Ni dozi juu ya dozi, Meridianbet imekuja na promosheni nyingine ambapo hii sio ya kinyonge kwakuwa inakupa nafasi ya kuwa mshindi wa kila siku hata kama umechana na timu moja. Ni Cash Back mpaka mara 100 ya dau uliloweka.

Habari njema zikufikie popote ulipo mdau wa kubashiri na Meridianbet kwakuwa unapata odds kubwa, machaguo Zaidi ya 1000+ na Ofa za kumwanga, kuna hii nyingine ya kijanja Zaidi unaambiwaje usijali endapo mkeka wako utachanika kwa timu moja, kwao Meridianbet mkeka bado umeshinda kwa sababu wanakurudishia mara 100 ya dau lako uliloweka. 

Nifanyeje Nirudishiwe Hela Zangu?

 Kitu unachopaswa kufanya ni kuhakikisha umebashiri tiketi yenye odds kubwa kuanzia 25+ hadi 950+ utarejeshewa mara 100 ya dau lako endapo ikatokea timu moja imechana mkeka wako.

Mchanganuo Uko hivi! 

Meridianbet

Zingatia:

  • Tiketi haitakiwi kuwa na bashiri ya mechi moja tu
  • Unatakiwa uwe na angalau bashiri moja kutoka bashiri za kabla ya mechi.
  • Haitakiwa kuweka machaguo mengi (Mult-bet) kutoka mechi moja
  • Hii ni maalumu kwa tiketi zilizopoteza mechi moja na dau la bonasi halihusiki kwenye promosheni hii.
  • Kupata jumla ya ushindi zidisha jumla ya odds zilizoshinda pekee (Odds za bonasi hazihesabiwi) kisha zidisha kwa namba zilizoainishwa kwenye jedwali hapo kulingana na idadi ya mechi kwenye tiketi yako.
  • Hesabu za Odds kubwa zilizoshinda hazihusishi ongezeko la odds za bonasi.

 NB: Meridianbet imekuja na Jakipoti kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

SOMA NA HII  KISA SIMBA....KOCHA YANGA AKATAA KWENDA UWANJANI KUTAZAMA DABI YA KESHO KUTWA...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here