Home Habari za michezo SIKIZA HII….KWA DAU LAKO DOGO….’PUNA’ MPAKA LAKI 8 NDANI YA EXPANSE KASINO...

SIKIZA HII….KWA DAU LAKO DOGO….’PUNA’ MPAKA LAKI 8 NDANI YA EXPANSE KASINO YA MERIDIANBET..

Meridianbet

Kila siku kumekuwa na kilio kikubwa cha ukosefu wa ajira, wengi wenye elimu wapo mtaani bila kazi lakini kuna sehemu moja tu ya kupata kipato kwa njia rahisi, ni Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet inakuja na Promosheni kabambe ya Expanse Kasino inatoa TZS 800,000/= kwa dau dogo sana.

Meridianbet wakali wa Kasino ya mtandaoni wenye sloti rahisi kushinda kama Aviator, Poker na Roullete wanagawa mpunga wa kutosha mwezi huu, usipange kukosa. Michezo ya sloti inayohusika kutoa mtonyo huu ni Book of Egypt, Bounty hunters, Capital City Derby, Forest Rock, Pirates Power, Spinning Buddha, The Book of Eskimo, Wild icy fruits.

Jinsi ya Kushiriki kwenye Promosheni hii

Ni rahisi sana wala huhitaji kutumia nguvu kubwa, ni kama kumsukuma mlevi vile hata kwa kutumia kidole anasogea tu. Cha kufanya zingatia yafuatayo ili kuwa moja ya wachezaji wazuri wa Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet:

  • Promosheni ya mashindano ya Expanse – itafanyika katika kipindi cha kuanzia Machi 17 mpaka Machi 22-2023.
  • Promosheni hii itahusisha wachezaji waliosajiliwa kwenye APP ya simu na tovuti ya www.meridianbet.co.tz
  • Wakati wa ofa, wachezaji hushindana kulingana na idadi ya mizunguko inayochezwa kwenye michezo ya watoa huduma ya Expanse. Michezo ambayo inahusika wakati wa mashindano ni: Book of Egypt, Bounty hunters, Capital City Derby, Forest Rock, Pirates Power, Spinning Buddha, The Book of Eskimo, Wild icy fruits.
  • Orodha ya nafasi iko ndani ya mchezo na itaonekana saa 24 baada ya mwisho wa mashindano.
  • Kulingana na orodha ya mwisho ya nafasi, wachezaji 5 walioshika nafasi za juu watatunukiwa bonasi za kasino katika viwango vifuatavyo:
  • 1. Nafasi ya Kwanza             250,000 TZS
  • 2. Nafasi ya Pili                     200,000 TZS
  • 3. Nafasi ya Tatu                 150,000 TZS
  • 4. Nafasi ya nne                    100,000 TZS
  • 5. Nafasi ya Tano                  100,000 TZS
  • Ili bonasi ya kasino iliyokabidhiwa ihamishwe kwa akaunti ya pesa ya mchezaji, ni muhimu kuiwekeza mara 30 kwenye mchezo wowote wa yanayopangwa wa mtoa huduma wa Expanse. Ushindi wa juu unaoweza kutolewa ni 500,000TZS.
  • Ofa hii ni halali kwa kila mtumiaji, anwani ya IP na kaya.
SOMA NA HII  GAMONDI:- HAWA AL AHLY HAWATAAMINI....NIACHIENIE 'SHOW' MWENYEWE KWENYE HILI...