Home CAF SIMBA YATUA MAMELODI…YATETA NA VIGOGO WA SOKA…WAONGEA NA MKUU WA MASHINDANO

SIMBA YATUA MAMELODI…YATETA NA VIGOGO WA SOKA…WAONGEA NA MKUU WA MASHINDANO

SIMBA YATUA MAMELODI...YATETA NA VIGOGO WA SOKA...WAONGEA NA MKUU WA MASHINDANO

Mahusiano yenye tija. Simba SC imekua ikijenga na kusimamia dhima ya kujenga mahusiano na taasisi na vilabu vya mpira ndani na nje ya Tanzania, ikiwa na malengo ya kukuza ushirikiano na kubadilishana uzoefu.

Wiki hii Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba Sports Club, Imani Kajula alitembelea makao makuu ya mabingwa wa Afrika ya Kusini, Mamelodi Sundowns na kukutana na Mwenyekiti ya Sundowns, Tihopie Motsepe, Mkurugenzi wa Ufundi, Flemming Berg na Mkuu wa Mashindano, Stanley Mabulu#NguvuMoja

SOMA NA HII  HATIMAYE BALEKE ABEBESHWA MIZIGO SIMBA...MSIMBAZI YAPAMBA MOTO HATARI