Home Habari za michezo MAMA SAMIA AMWAGA MANOTI TAIFA STARS…MASTAA WAPAGAWA

MAMA SAMIA AMWAGA MANOTI TAIFA STARS…MASTAA WAPAGAWA

Taifa Stars

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa Tsh. Milioni 10 kwa kila goli ambalo Taifa Stars itafunga katika michuano ya kufuzu fainali ya michuano ya AFCON inayoendelea, taarifa hiyo imetolewa leo na Msemaji Mkuu wa Serikali.

Taifa Stars inapambana kutafuta nafasi ya kufuzu kwa michuano ya AFCON2023 itakayopigwa nchini Ivory Coast.

Machi 28 Stars watakuwa na kibarua dhidi ya Uganda katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

SOMA NA HII  BACCA AFICHUA YANAYOENDELEA YANGA..."SIWEZI KUTAJA SIFA ZA MCHEZAJI...AFUNGUKA HAYA