Home Matokeo ya Simba TAKWIMU ZA MECHI…YANGA SC VS REAL BAMAKO…SIMBA SC VS VIPERS FC

TAKWIMU ZA MECHI…YANGA SC VS REAL BAMAKO…SIMBA SC VS VIPERS FC

Takwimu za mechi za Simba vs Vipers & Yanga vs AS Real Bamako
Takwimu za mechi za Simba vs Vipers & Yanga vs AS Real Bamako

Simba pasi 569 na zilizofika kwa usahihi ni 473, Vipers pasi 324 na zilizofika kwa usahihi ni 239, Yanga pasi 393 na zilizofika kwa usahihi ni 301, Bamako pasi 350 na zilizofika kwa usahihi ni 261.

Pasi za Simba zilizofika kwa usahihi ni nyingi kuliko pasi zote zilizopigwa na timu nyingine yoyote katika hizi mechi mbili. Vivyo hivyo katika ball possession, total shots, shots on goal na dangerous attacks Simba ilikuwa juu zaidi. Sijajua bado ni kipi kinaamua ubovu wa Simba, labda uchache wa mabao.

SOMA NA HII  FT: SIMBA 1-0 De AGOSTO....PHIRI AFANYA YALIYOMLETA TZ....MGUNDA AITISHIA CAF...