Home Habari za michezo TETESI ZA USAJILI: MESSI KUNG’OLEWA PSG…WAARABU WAMPA MIL 1 KILA DK 1…POGBA...

TETESI ZA USAJILI: MESSI KUNG’OLEWA PSG…WAARABU WAMPA MIL 1 KILA DK 1…POGBA ACHEZA DK 35 MSIMU MZIMA

TETESI ZA USAJILI: MESSI KUNG'OLEWA PSG...WAARABU WAMPA MIL 1 KILA DK 1...

Lionel Messi, 35, ameahidiwa kuwa atalipwa jumla ya pauni milioni
193 sawa na Euro milioni 220 sawa na TSh496,706,137,823.22 ili kujiunga na klabu ya Al Hilal ya Saudi Arabia akiikacha Paris St-Germain mwishoni wa msimu huu.

Mshambuliaji wa kimataifa wa Hispania na Manchester City Julian Alvarez, 23, anakaribia kumwaga wino wa kuendelea kukitumikia kikosi cha City mpaka katika Kombe la Dunia mwaka 2028.

Kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Italia Paul Pogba, 30, amesema anahitaji kusalia Juventus licha ya msimu huu kucheza dakika 35 pekee za Serie A klabuni hapo kutokana na majeruhi.

Kocha Mkuu wa Barcelona Xavi Hernandez ameweka wazi matamanio yake ya kumsajili kiungo wa kimataifa wa Ujerumani na Manchester City Ilkay Gundogan, 32, kwa ajili ya kumsajili.

SOMA NA HII  KUELEKEA MSIMU UJAO...NABI ARUDI NA MAFAILI MATATU YANGA...MWINYI ZAHERA AFUNGUKA ISHU YA KAMBI KIGAMBONI...