Home Habari za Simba ULE MGOLI WA CHAMA WACHAGULIWA…GOLI BORA LIGI YA MABINGWA

ULE MGOLI WA CHAMA WACHAGULIWA…GOLI BORA LIGI YA MABINGWA

MASTAA SIMBA WASHIKWA NA NJAA KALI...WAENDELEA KUTEMBEZA KICHAPO

Goli la Mchezaji wa Simba SC, Clatous Chama alilofunga dhidi ya Horoya kwa kupitia mpira wa kutenga limeteuliwa kuwa bora kati ya magoli yote yaliyofungwa kwenye mechi za mzunguko wa tano hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika.

Goli hilo la Chama lilikuwa la kwanza katika mchezo dhidi ya Horoya Jumamosi iliyopita katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.

SOMA NA HII  WAKATI ODDS ZA MECHI YA TANZANIA vs MOROCCO ZIKIWA JUU....KAZI PEVU LEO IKO KWA ACHRAF HAKIMI..