Home Habari za michezo YANGA NA SIMBA… ZIMETUHAKIKISHIA KUPELEKA TIMU 4 KIMATAIFA MSIMU UJAO

YANGA NA SIMBA… ZIMETUHAKIKISHIA KUPELEKA TIMU 4 KIMATAIFA MSIMU UJAO

Simba vs Yanga

Makamu wa Rais wa Klabu ya Yanga, Arafat Haji amesema kitendo cha kuingiza timu mbili kwenye robo fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika kimeitangaza nchi vizuri kwa maana ya nje ya mipaka ya Afrika.

“Mafanikio haya yameihakikishia nchi yetu kupeleka timu nne Kimataifa msimu ujao lakini pia kitendo cha Rais Samia Suluhu Hassan kununua kila bao Sh5 milioni kimeleta motisha kubwa.”

SOMA NA HII  AL AHLY ATAKUBALI KUENDELEZA UTEJA DHIDI YA SIMBA LEO AFL