Home Habari za michezo AZIZ KI AMEFELI YANGA…TAKWIMU HIZI ZINAONYESHA MAUZA UZA YAKE A-Z

AZIZ KI AMEFELI YANGA…TAKWIMU HIZI ZINAONYESHA MAUZA UZA YAKE A-Z

Habari za Yanga

Kumeibuka mjadala kwenye mitandao ya kijamii huku baadhi ya wachambuzi na mashabiki wa soka wakidai kuwa kiwango cha kiungo mshambuliaji wa Yanga, raia wa Burkina Faso, Stephanie Aziz Ki kimeporomoka na hatoi kile alichotarajiwa kufanya na Wananchi hao wa Jangwani.

Takwimu za kiungo mshambuliaji Aziz Ki tangu asajiliwe Young Africans mwanzoni mwa msimu huu wa 2022/23 wakiwa na matarajio makubwa kwake kuisaidia klabu hiyo.

Assist vs Simba SC – Ngao
vs Zalan CAFCC
vs Club Africain – CAFCL
vs Azam – NBC
vs Mtibwa NBC
vs Transit camp
vs Rhino Rangers – FA
vs Simba SC NBC
vs Mtibwa
NBC
vs Namungo – NBC
Assist vs Coastal Union – NBC
Assist vs Real Bamako – CAFCC
 Magoli aliyofunga
 – Assists

Aziz Ki ndiye ameipeleka Yanga hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) kwa goli lake pekee dhidi ya Club Africain na sasa Yanga iko robo fainali ya Mashindano hayo.

Alisajiliwa kwa kitita cha pesa kisichopungua Tsh milioni 400, ameipeleka Yanga Makundi na hatimaye robo (CAFCC),
wamepata Tsh milioni 820 Milioni. Endapo Yanga itafika nusu fainali, itapata Tsh Bilioni 1.2.

Ukitazama magoli yake 8016 yalienda moja kwa moja kuamua mchezo.

 vs Mtibwa > Points 03
 vs Africain > Makundi
 vs Azam > Points 03
Assist vs Azam > Points 03
vs Simba – Point 1

 vs Namungo – Points 03
Assist vs Coastal

Katika msimu wake wa kwanza Tanzania ambao haujakamilika, takwimu za Aziz ni hizo, turudi kwenye swali la msingi, Je, ni kweli amefeli?

SOMA NA HII  KATIKA HEKAHEKA ZA KUIMARISHA VIKOSI, MUSONDA AFUNGUKA MAZITO YANGA