Home Habari za michezo KISA KUFUNGA GOLI 3 JANA….AHMED ALLY AMTUPIA KIJEMBE HIKI AZIZI KI…

KISA KUFUNGA GOLI 3 JANA….AHMED ALLY AMTUPIA KIJEMBE HIKI AZIZI KI…

Habari za Simba

Joto la Derby ya Kariakoo linazidi kufukuta hasa kutokana na matokeo murua yaliopatikana kwa timu hizo mbili za Simba na Yanga.

Vijembe navyo vikichagiza hamu ya kuushuhudia mchezo wenyewe Aprili 16.

Baada ya hat-trick ya Aziz Ki hapo jana dhidi ya Kagera Sugar Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally ametupa dongo gizani kwa kudai kwao idadi ya magoli hayo matatu hayapatikani kwa mikwaju ya penati.

Kauli hiyo ni kama amemlenga Aziz Ki ambaye hapo jana aliondoka na mpira baada ya kufunga magoli matatu na kati ya hayo mawili yakiwa ni kwanjia ya penati.

SOMA NA HII  KUELEKEA MECHI YA JUMAPILI DHIDI YA WANIGERIA...MUKOKO ASHUSHA PRESHA YANGA..NABI AFUNGUKA HAYA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here