Home Ligi Kuu SPIKA WA BUNGE AMWAGA MAMILIONI…TIMU HII YAPOKEA MAPENE HAYO

SPIKA WA BUNGE AMWAGA MAMILIONI…TIMU HII YAPOKEA MAPENE HAYO

SPIKA WA BUNGE AMWAGA MAMILIONI...TIMU HII YAPOKEA MAPENE

Spika wa Bunge la Tanzania Dk Tulia Ackson ametoa Sh2 milioni kwa timu ya Mbeya City ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya timu hiyo kuelekea mchezo dhidi ya Kagera Sugar Aprili 23.

Fedha hizo zimetolewa leo Aprili 18, 2023 wakati wa Chakula cha mchana kilichoandaliwa na Spika kwa wachezaji wa Mbeya City jijini Dodoma wakiwa safarini kuelekea Bukoba kwa ajili ya mechi itayochezwa uwanja wa Kaitaba.

Akikabidhi zawadi hiyo kwa niaba ya Dk Tulia, mbunge Lupa Chunya Masache Kasaka kwa kushirikiana na wabunge wa Mbeya nao wametoa Sh1 milioni na kufanya jumla kuwa Sh3 milioni.

Pamoja na mambo mengine, wabunge hao wameahidi kununua ushindi kwa timu ya Mbeya City kwa kila mechi zilizosalia kwenye ligi Kuu ya Tanzania inayoendelea

SOMA NA HII  WACHINA WAIMWAGIA YANGA MABILIONI YA PESA....SASA KUTAMBA CAF KIBABE...STORI IKO HIVI..

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here