Home Habari za michezo MAHASIMU HAWA WA YANGA WALA KICHAPO…WANANCHI MSHINDWE NYIE TU

MAHASIMU HAWA WA YANGA WALA KICHAPO…WANANCHI MSHINDWE NYIE TU

MAHASIMU HAWA WA YANGA WALA KICHAPO...WANANCHI MSHINDWE NYIE TU

Siku ya jana ulipigwa mchezo wa ligi kuu ya nchini Nigeria, ambapo uliwakutanisha Lobi Star na Rivers United ambapo Lobi Star
waliondoka na Ushindi wa Goli 3-2.

FT: LOBI STAR 3-2 RIVERS UNITED.
Wafungaji; 66-✪ Farouk Mohammed 69-
Abba Umar 86′ –
Wasiu Alalade 90′-Nyima Nwangwa 90+6′- Elijah Ani

Rivers ipo nafasi ya pili katika Msimamo wa ligi hiyo ikiwa na pointi 20 huku ikiwa imecheza michezo 12, huku Lobi Star inaongoza ligi ikiwa na point 26 ikiwa imecheza michezo 13.

Ikumbukwe kuwa, Rivers United wamepangwa kucheza robo fainali ya Kombe la Shirikisho na yanga ambao wanapewa nafasi kubwa ya kusonga mbele zaidi katika michuano hiyo ikilinganishwa na Rivers.

SOMA NA HII  KAMWE:- WAARABU TUMEWASOMA...TUMEWAPIGIA MAHESABU MAKALI...WATASHANGAA MPIRA BOLIBO