Home Habari za michezo KUWA MJANJA KWA KUKUSANYA PESA KUPITIA CASINO YA HOT 40 NDANI YA...

KUWA MJANJA KWA KUKUSANYA PESA KUPITIA CASINO YA HOT 40 NDANI YA MERIDIANBET…

Meridianbet

Sloti ya Wild Hot 40           

Kasino ya Mtandaoni inayokupa ushindi wa uhakika na rahisi, Meridianbet imekuongezea sloti nyingine rahisi kucheza na kushinda mkwanja mrefu, ni Wild Hot 40 mchezo wa kasino wa matunda umekuwa pendwa sana na wachezaji wengi.

Moja kati ya mchezo ambao unakupa matumaini ya kuongeza hela kwenye dau lako uliloweka ni sloti ya Wild Hot 40 kutoka kasino mtandaoni, inakuhakikishia ushindi mkubwa kwa kuwa ina Jackpot 3 za ushindi ambazo ni Gold, Platinum na Diamond.

Jinsi ya Kucheza Sloti ya Wild Hot 40

Sloti hii ya Wild Hot 40 inayopatikana Meridianbet kasino ya mtandaoni, inasifika kwa uchezaji wake rahisi haswa katika muundo wa alama za matunda na muundo wa kolamu 5 na mistari 40 ya malipo.

Matunda hayo ni Ndizi, Tufaa (Apple) na Strawberry ambapo ukipata alama hizi 5, utapata mara 2.5 ya dau uliloliweka. Ukipatia alama 5 za Kengele, unarudishiwa mara 5 ya dau uliloliweka. Ukipatia alama ya namba 7 za bahati, utapata mara 10 ya dau uliloliweka. Ukipatia alama 5 za Wild, utarudishiwa mara 25 ya dau uliloweka wakati ukipatia alama 5 za Scatter utarudishiwa zaidi ya mara 500 ya dau lako.

Kubwa Zaidi ni kwamba Sloti hii kutoka kasino ya mtandaoni inakuja na  chaguo la Gamble ambalo litakuletea mara 2 ya faida uliyoipata kwenye ushindi wako.

NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko 50 ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza.

SOMA NA HII  MWAKA TUNAUFUNGA HIVI NA SIMU INAYOKAA NA CHAJI KWA ZAIDI YA MASAA 72.